
KILIMO BORA
ONGEZA MAVUNO MARADUFU KWA KUTUMIA MBOLEA ASILIA,PATA MATOKEO MAKUBWA KWA KUTUMIA MBOLEA HII
IJUE MBOLEA HII
Mbolea hii ni Kirutubisho bora asilia cha Mimea kisicho na kemikali ,Imetengenezwa kwa magome ya miti na kinyesi cha ndege,mbolea hii inasaidia uimarishaji wa mazao yako katika hali ya majira yoyote pia huongeza uzalishaji wa mazao kwa ubora wa hali ya juu, kwa kilimo chochote. Kirutubisho hichi ni asilia kina sifa kutoka kwa wakulima wote duniani ambacho kitaongeza mazao yako zaidi ya mara tatu ya unayoweza kupata kutoka kwa mbolea zingine za kemikali.
FAIDA CHACHE ZA KUTUMIA MBOLEA YETU
KWENYE KILIMO
Inaongeza wingi wa mazao(Utavuna mara 2-3 ya ulicho kuwa unavuna mwanzo)
Inaongeza ubora wa mazao hivyo utapata mazao yenye (ukubwa mzuri,uzito,ladha na rangi nzuri)
Inaongeza unyevuunyevu shambani
Inakuza mimea kwa haraka
Itakupunguzia gharama za pembejeo
Mbolea hii pekee inatosha kwa kila lita 1 utachanganya na 1cc ya mbolea
Inarudisha rutuba asilia iliyopotea kwa kutumia mbolea za chumvichumvi
TAZAMA UFANISI WA MBOLEA HIIπππ



Kwa kila Lita 1 ya maji utachanganya na mbolea 1cc
Yaani kama pampu yako ina ujazo wa Lita 16 utachanganya na mbolea 16cc , kama ina Lita 20 utachanganya na mbolea 20c
INATUMIKA MISIMU YOTE
1.KIANGAZI (UTAPIGA MARA MOJA BAADA YA SIKU SABA
2.MASIKA ,UTAPIGA MARA MOJA BAADA YA SIKU 14
LEO NAKUPATIA PUNGUZO KUBWA KWA TSH 160,000 ,UTAJIPATIA LITA TANO YA MBOLEA YETU
Tunapatikana Moshi Mjini ,Mbolea hii utaipata popote pale ulipo ,tufanya delivery mikoa yote Tanzania
wasiliana nasi leo tukuhudumie
MUDA UNAKARIBIA KUISHA WEKA ODA
YAKO MAPEMA HAPO JUU
NAFASI ZA UWAKALA WA MBOLEA HII
ZINAPATIKANA ,UNAWEZA KUWA WAKALA NA KUJIINGIZIA KIPATO KIZURI ,NAKUKARIBISHA KUJIUNGA NA UWAKALA WA MBOLEA HII ASILIA
BONYEZA BATANI HAPO CHINI KUJIUNGA
πππ

UNAWEZA KUPIGA SIMU PIA KWA
NAMBA
0744712822
0784408913
ASANTE.